Prayer Cry For Mercy - Apostle Arome Osayi
Arinzekeyz
37:23Nikiwa ndani yake Yesu Niko salama mbawani mwake Katika mapito yangu yote Huniongoza na kunilinda Ndani yake Yesu, mahali pa salama Yeye hutupatia furaha ya milele Tuishi ndani yake, na yeye ndani yetu Hatatuacha kamwe tunapo mtegemea Ninapokuwa nakata tamaa Sijui wapi pa kimbilio Hata dhoruba zijapovuma Yesu yu nami, taniongoza Ndani yake Yesu, mahali pa salama Yeye hutupatia furaha ya milele Tuishi ndani yake, na yeye ndani yetu Hatatuacha kamwe tunapo mtegemea Ndani yake Yesu, mahali pa salama Yeye hutupatia furaha ya milele Tuishi ndani yake, na yeye ndani yetu Hatatuacha kamwe tunapo mtegemea Hatatuacha kamwe tunapo mtegemea Hatatuacha kamwe tunapo mtegemea