Ninyi Ni Nuru
Aic Chang'Ombe Vijana Choir
4:22Mtu hawezi kuishi peke yake kwa mikate, Mimi siwezi kuishi peke yangu kwa mikate, Wewe huwezi kuishi peke yako kwa mikate, Balii (kwa neno la uzima) Balii (kwa neno la uzima) Kweli (kwa neno la uzima) tuishi kwa neno la uzima Balii (kwa neno la uzima) Balii (kwa neno la uzima) Kweli (kwa neno la uzima) tuishi kwa neno la uzima Mikate... Watu wanapenda mikate (mikate) Watu wanapenda mikate (mikate) Watu wanapenda mikate (mikate) Watu wanapenda mikate (mikate) Yesu alipolisha watu elfu Tano (mikate) Kesho yake walimtafuta awape (mikate) Bwana Yesu alipofanya muujiza wa. (mikate) Kesho yake watu walifurika awape (mikate) Mikate... Umdhaniaye ndiye, siye akipewa. (mikate) Yuda alimsaliti Yesu sababu ya. (mikate) Watu wengi huuza haki zao kwa kitu. (mikate) Esau alikosa baraka sababu ya. (mikate) Mikate... Jamani mikate (mikate) Mikate... Watu wanapenda mikate (mikate) Watu wanapenda mikate (mikate) Watu wanapenda mikate (mikate) Watu wanapenda mikate (mikate) Huna sifa ya kuongoza bali unayo. (mikate) Utapata kura nyingi kwa kugawa hiyo. (mikate) Ona haki inavyopindishwa sababu ya. (mikate) Wanyonge hukosa haki sababu hawana. (mikate) Ujanja ujanja kila kona sababu ya. (mikate) Watu wanasema uongo ili wapewe. (mikate) Mauaji ya kinyama husababishwa na. (mikate) Vita vya wenyewe kwa wenyewe vinalenga. (mikate) Mikate... Jamani mikate (mikate) Tutafute kwanza ufalme wa Mbingu mengine. (Tutaongezwa) Tutafute kwanza uso wa bwana hayo mengine. (Tutaongezwa) Tutafute kwanza ufalme wa Mbingu mengine. (Tutaongezwa) Tutafute kwanza uso wa bwana hayo mengine. (Tutaongezwa) Mtu hawezi kuishi peke yake kwa mikate, Mimi siwezi kuishi peke yangu kwa mikate, Wewe huwezi kuishi peke yako kwa mikate, Balii (kwa neno la uzima) Balii (kwa neno la uzima) Kweli (kwa neno la uzima) tuishi kwa neno la uzima Balii (kwa neno la uzima) Balii (kwa neno la uzima) Kweli (kwa neno la uzima) tuishi kwa neno la uzima