Amashimwe
Alpha Rwirangira
4:12Krisi meisi She's calling you Ninapo kwenda, sipajui Ila nakuamini Wewe Ninajua mkono Wako, utasimama namii Ninajua kila hatua yangu, ukonamii Sitaogopa ntacho kutana nacho Wewe ni Mungu uliye mkamilifu Wewe ni Mungu mwaminifu Nimwamini nani? Kama sio Wewe Ni Wewe, ni Wewe (ni Wewe, ni Wewe) (Ni Wewe) oh, oh, (ni Wewe) ni Wewe, (ni Wewe) Mmh, (ni Wewe, ni Wewe, ni Wewe) utakaye niongoza (Ni Wewe) safari yangu (ni Wewe) Huko mbele ntakutana na mambo yehe Milima nayo nipande Simba wenye hasira kali waungurume Ili kuendelea niogope Ninakuamini Wewe Usiyeshindwa kamwe Mbele yangu nakutanguliza Safari yangu nifike salama, Wewe (Ni Wewe, ni Wewe, ni Wewe) utakaye niwezesha (Ni Wewe), ni Wewe (ni Wewe) Mmh, (ni Wewe, ni Wewe, ni Wewe) utakaye niongoza (Ni Wewe) safari yangu, (ni Wewe) Ulisimama na Abrahamu, ukasimama naye Sara Ulisimama na Daudi, ukasimama namii Nakuweka mbele yangu, ooh Nitafika, nitafika eeeh (Ni Wewe, ni Wewe, ni Wewe) oh, ni Wewe (Ni Wewe), ni Wewe Baba, (ni Wewe) oh, Baba wangu (Ni Wewe, ni Wewe, ni Wewe) Ni Wewe, (ni Wewe), ni Wewe, (ni Wewe) Utanifikisha salama oh, ni Wewe (ni Wewe) ni Wewe (ni Wewe) Oh, (ni Wewe, ni Wewe, ni Wewe) utakaye niwezesha (ni Wewe) Ni Wewe, (ni Wewe) oh