Imirindi Yuwiteka
Ambassadors Of Christ Choir
6:50Sauti ilisikika mjini Rama Kilio na maombolezo mengi Raheli akiwalilia watoto wake Lakini hakutaka kufarijiwa kwa kuwa hawako tena Bwana asema hebu zuia sauti yako usilie mama na macho yako kamwe yasitoke machozi tulia ee jipe moyo Bwana asema hebu zuia sauti yako usilie mama na macho yako kamwe yasitoke machozi tulia ee jipe moyo Maana kazi yako itapata thawabu na kwa nguvu mpya Nguvu mpya utainuliwa tena Wakati tulio nao Si wa kuomboleza tena Siku za kilio zimepita zimekwisha (aanha) Sasa twasonga tena mbele Mbele kwa kazi yake bwana Matokeo kwamwe hayatatukatisha tamaa (anhaa) Na tutaweza yote Kwa jina lake mwenye nguvu Na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza Wakati tulio nao Si wa kuomboleza tena Siku za kilio zimepita zimekwisha (aanha) Sasa twasonga tena mbele Mbele kwa kazi yake bwana Matokeo kwamwe hayatatukatisha tamaa (anhaa) Na tutaweza yote Kwa jina lake mwenye nguvu Na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza Twatiwa nguvu kwa neno lake bwana Mungu uuhuu asemapo baada hayo yote nitarejea, nami nitaijenga tena nyumba yake Daudi iliyoanguka nitajenga tena maanguko yake nitaisimamisha, Kwa ajili yake bwana twaweza kuuwawa mchana usiku kucha twahesabiwa kuwa kama kondoo wasubirio kuchinjwa, Lakini katika mambo haya yote tumeshinda na zaidi ya kushinda kwa yeye aliyetupenda jina lake lisifiwe milele. Baada ya siku hizo za kupigwa vikali Kama alivyoahidi nguvu mpya ametupatia tena. Wakati tulio nao Si wa kuomboleza tena Siku za kilio zimepita zimekwisha (aanha) Sasa twasonga tena mbele Mbele kwa kazi yake bwana Matokeo kwamwe hayatatukatisha tamaa (anhaa) Na tutaweza yote Kwa jina lake mwenye nguvu Na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza Wakati tulio nao Si wa kuomboleza tena Siku za kilio zimepita zimekwisha (aanha) Sasa twasonga tena mbele Mbele kwa kazi yake bwana Matokeo kwamwe hayatatukatisha tamaa (anhaa) Na tutaweza yote Kwa jina lake mwenye nguvu Na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza Wakati tulio nao Si wa kuomboleza tena Siku za kilio zimepita zimekwisha (aanha) Sasa twasonga tena mbele Mbele kwa kazi yake bwana Matokeo kwamwe hayatatukatisha tamaa (anhaa) Na tutaweza yote Kwa jina lake mwenye nguvu Na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza