Asante
Angel Benard
4:34Mi siteketeii,siangamii Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami Hupimwi kwa siku,hupimwi kwa miaka,unatafsiri majira Huzuiwii na muda,umejawa na nguvu ndio maana nakuita baba moyoni mwangu najawa sifa na ujasiri katika wewe hakuna mlima wa kuniangusha ndani yako mi nasimama Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami Nimezungukwa nawe kila pande hakuna jambo la kuniangamiza majeshi yalo upande wangu ni mengi sana kuliko hao wa dunia hatua zangu zaongozwa nawe siangamii siteketei katika wewe ninasimama siteketei na ninajua ee ee Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami Kwako bwana nasimama Ndiwe mwamba ni salama Kwako bwana nasimama eh eh For they that believe in you we shall stand firm forever Forever Mi siteketeii,siangamii,sigarikishwi upo nami Mi siteketei siangamii,sigarikishwi upo nami