Notice: file_put_contents(): Write of 624 bytes failed with errno=28 No space left on device in /www/wwwroot/muzbon.net/system/url_helper.php on line 265
Balaa Mc - Chuki | Скачать MP3 бесплатно
Chuki

Chuki

Balaa Mc

Длительность: 3:33
Год: 2022
Скачать MP3

Текст песни

We muushizoo utawauwaa
26 kipaajiii

Hakuna shujaa pasipo na maaduii
Minishujaa nasakwa na maaduii
Hii vita ni nugumu napigana na watu
Ambao hauwaonii wala hauwajui
Mi ni mti wenye matunda Ndio maana sichoki
Kila siku wananipiga mawe
Niko imara sianguki niko na yumba yumba tu
Matunda Yakianguka kesho yataota mengine
Kama ipo ipo kanipa Mungu uu
Kazi bure huwezi ziba riziki yangu
Eti unanichukia kisa kipaji changuu
Kazana kuniloga tu mi namuomba Mungu
We kunguru mi mwewe sa utaweza wapi
Shindana na mimi weweeee
Unakazana kutenegeza mazingira
Mi nishuke kimziki ili upande weweeee
Ohh binadamu ata ukishi nao vizuri
Watatafuta sababu tuu
Ohh binadamu ata ukiwafanyia mema
Lakini Bado utasemwa tuu
Kweli Napambana usiku na mchanaa
Silali natafuta ili nile na ndugu zanguu
Najua kama na baba mama familiaa yanguu
Inanitegemea nalijuaa jukumu languu

Nashangaa wananichukia sijui kwanini ohh
Wananisema sijui nimefanya nini mi
Kwani kosa langu nini kwa nini mimi ohh
Mdomoni mwao kutwa jina langu mimi
Maneno ya uongo wanaongeaaa
Uhakika hawana alafu wanajiaminii
Figisu figisu wananifanyiaa
Huruma hawana nia yao kunishusha mimi
Mi najikongoja tu kidume mimii
Waache waniloge najua mungu yuko namii

Ila hakuna kama 26 kipajii
Wanasubiri wavune wakati mi ndio mlimajii
Napenda sana ushauri sijifanyi mjuajii
Leo God ka bless namiliki bajajii
Haya sasa woote tusemee suuu
Suuzikeni na roho zenu balaa sina makuu
Hata mkinuna hiyo shauri yenu tuu
Mniloge mnipige ndumba tu yoote mipango ya mungu

Nashangaa wananichukia sijui kwanini ohh
Wananisema sijui nimefanya nini mi
Kwani kosa langu nini kwa nini mimi ohh
Mdomoni mwao kutwa jina langu mimi
Maneno ya uongo wanaongeaaa
Uhakika hawana alafu wanajiaminii
Figisu figisu wananifanyiaa
Huruma hawana nia yao kunishusha mimi
Mi najikongoja tu kidume mimii
Waache waniloge najua mungu yuko namii

Jmani mushizoo ahaa utawauwaa
Lyrics by Chamazi Musi