Okay
Barnaba
2:53Aaah haya eeh aah Nyuma nilitaka kuzungumza na We ila nafasi hiyo kwako nikakosa Sikujuta wala sikulalamika sababu Naamini kukupenda wewe sijafanya makosa Japo nilisuffer machozi nikaangusha ila hujawahi nifuta hata kwa Kuniongopea Ndio kwanza unacheka huku ukinibeza na mashoga zako vibarazani kuniongelea Mpenzi dunia imebadilika bado naweza nikakupa pesa na bado nikawa Nakuongopea Basi vumilia kesho nitapata Nitakupa kila unachotaka sababu wewe ni malkia Baby wangu am sorry hiii hii Sorry hiii hiii Sorry hii hii hii Sorry hii hii Baby wangu am sorry hiii hii Sorry hiii hiii Sorry hii hii hii Baby am sorry hii Oneni navyolia kama mtoto Kwenye sekta ya mapenzi nahisi nimechapwa viboko Na kinachoniumiza ni yangu huruma Maana mama barnaba alisema mwanamke akikuudhi usije kumpiga Oneni ndio nasuffer huruma yangu inaniponza Kazi yangu kufungua milango usiku wa manane wenzangu wakigonga Nakupenda bado unampenda Namvumilia kila akinitenda Nahisi hiyo ndio nafasi anayoitumia kuniumiza Inshallah navumilia najua yataisha Ipo siku atagundua me ni wake wa maisha Na sitamlipizia nitamvumilia na ntambembeleza nitamsahihisha Kila atakapokuwa anakosea Baby wangu am sorry hiii hii Sorry hiii hiii Sorry hii hii hii Sorry hii hii Baby wangu am sorry hiii hii Sorry hiii hiii Sorry hii hii hii Baby am sorry hii