In This Love (Feat. Magic Kingorongoro)
Big Fizzo
3:09Ooh oh oh oh Unanipa bure, so fine Hadi natamani kujuwa kakufunza nini, woman Mwanafunzi shule, mitihani Maradhi nimeuguwa, zile njonjo zako na utani Acha waseme umeniroga (Roga) Sijali wanayobwaga (Bwaga) Eeh baby you're my woman oh , Kama ugali na mboga Yako tamu imenoga Eeh eeh Moyoni futa mimi na wewe kuachana Let me be your Superman, let me be your Superman Na ikija vita, niko tayari kupambana Let me be your Superman, let me be your Superman ooh oooh Juu yako nafurahi Juu yako najidai , my woman my woman Kama mapenzi ya kweli ni furaha , kujali Just follow me , follow me Waliokutesa na kukufanya usilali Ni wao sio mi ,We ni follow mi Follow, follow me Umeishafika, tulia Puuza wakikwambia Kinachofata ni ndoa Na na na na na na Utamu umeishakolea Na mama nishamwambia Kwako nimejifia Moyoni futa mimi na wewe kuachana Let me be your Superman, let me be your Superman Na ikija vita, niko tayari kupambana Let me be your Superman, let me be your Superman ooh oooh Juu yako nafurahi Juu yako najidai, my woman, my woman