Utanitambuaje (Feat. Bahati Bukuku)
Bony Mwaitege
7:36Mfalme Belshazzar maandiko yanamsimulia Alilewa madaraka akamkosea Mungu Alipopata ufalme alichanganyikiwa Mpaka akathubutu kutumia vikombe vya hekalu. Mfalme Belshazzar Alishangaa kuona mkono unaandika ukutani Na anayeandika alikuwa haonekani Maneno yaliyo jitokeza ukutani yalikuwa haya Mene Mene Tekeli na Peresin Maana yake ufalme wako umepimwa kwa mizani Nao umeonekana umepungua Ufalme wako wamegawanywa wabedi na wajemi Belshazzar Belshazzar Belshazzar alidhani amefika akaanza kudharau watu kumbe safari bado Mfalme Belshazzar alidhani amefika akaanza kumdharau Mungu kumbe safari bado... Inaendelea Safari bado, safari bado safari bado, inaendelea Woho Baaa Bado safari bado (bado) Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado (hei bado) Baaadoo safari bado (Ndugu yangu) Usianze kudharau watu ndugu safari bado Bado safari bado Endelea kumheshimu Mungu ndungu safari bado ...inaeendelea Safari bado Ukipigiwa simu haupokei unaiangalia tu Unadhani umefika kumbe safari bado Ukipita na gari yako matope unaturushia Unadhani umefika kumbe safari bado Umejifungua salama usifute namba za wakunga Ndugu yangu nakukumbusha kwamba safari bado Bado safari baaado Endelea kuheshimu watu ndungu safari bado Bado safari bado Usiache kumwabudu Mungu ndugu safari bado inaeendelea Bado heiye Bado safari bado Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado Bado safari bado Usianze kudharau watu ndugu safari bado Bado safari Endelea kumheshimu Mungu ndugu safari bado ...Inaendelea Safari bado Umesoma sawa lakini kumbuka walio kusomesha Usiwasahau maana safari bado Unapesa nyingi sawa lakini kumbuka ulikotoka Usidharau watu ndungu safari bado Baadoo safari bado Endelea kuheshimu watu ndungu safari bado Baaadoo safari baadoo Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado Inaendelea Safari bado heiyei Bado safari bado Maisha ni safari ndefu ndungu safari bado Baadoo safari bado Usianze kudharau watu ndugu safari bado Bado safari bado Endelea kumheshimu Mungu ndugu safari bado ...inaeendelea Safari bado