Kwa Ceiling
Chris Kaiga
2:59Eeh, eeh, eeh Eeh, eeh, eeh Eeh, eeh, eeh Eeh, eeh, eeh Eeh Sikosi uradi Nipate nimechill na kabinti Form ni mingi hadi anashangaa na sisi Kila siku ya wiki,get tipsy Na nikiget doh, va blow out all on the whiskey Jack D, Jamey, now blame it on Henny We started out slow, nilikuaje mlevi? Ish too crazy, kukumbuka siwezi Nilijiget tu home juu ya bed nimebleki Si masoo ni mangiree (Zimenice) Dem mmoja wawile (Zimenice) Na ma Tusker ma Pile (Zimenice) Mara ya kwanza ya pile (Zimenice) Si masoo ni mangiree (Zimenice) Dem mmoja wawile (Zimenice) Na ma Tusker ma Pile (Zimenice) Mara ya kwanza ya pile (Zimenice) Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) Zimenice, zimenice zangu (Zimenice) Zimenice, zimenice zangu (Zimenice) Zimenice, zimenice zangu (Zimenice) Nipe beat, nipe mic roho itesi kalamu Huu muziki ndio kazi naufanya kwa hamu Juu nateka mahali kama Boko Haramu Na ikijipa basi nitawandalia karamu Bash mara that-that Tunakuja chap-chap Tunakuja na gode Tei mpaka tap-tap Ati? Shawty wants to take a snap Ashatoa top, ashanikalia lap (Sikiza hii) Si masoo ni mangiree (Zimenice) Dem mmoja wawile (Zimenice) Na ma Tusker ma Pile (Zimenice) Mara ya kwanza ya pile (Zimenice) Si masoo ni mangiree (Zimenice) Dem mmoja wawile (Zimenice) Na ma Tusker ma Pile (Zimenice) Mara ya kwanza ya pile (Zimenice) Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) Zimenice, zimenice zangu (Zimenice) Zimenice, zimenice zangu (Zimenice) Zimenice, zimenice zangu (Zimenice) Me, nimechill inadi bar Juu watu huko mbele wako maji kama tap Na kesho niko waks But venye zimenice, itabidi nimeflash mdosi Aki-call back aki ya nani siokoti Niko kando ya woofer na kelele ya mbogi Kama ni ngori basi kesi baadae Woah, niko cloud 9, eh wasee niko high Si masoo ni mangiree (Zimenice) Dem mmoja wawile (Zimenice) Na ma Tusker ma Pile (Zimenice) Mara ya kwanza ya pile (Zimenice) Si masoo ni mangiree (Zimenice) Dem mmoja wawile (Zimenice) Na ma Tusker ma Pile (Zimenice) Mara ya kwanza ya pile (Zimenice) Zimenice, zangu zimenice (Zimenice) Zimenice, zimenice zangu (Zimenice) Zimenice, zimenice zangu (Zimenice) Zimenice, zimenice zangu (Zimenice) Eeh, eeh Eeh, eeh Eeh, eeh