Nichunguze Moyo
Christopher Mwahangila
7:00Nitetee Mungu, nitetee Baba Nitetee Mungu wangu, Bwana Nitetee Mungu, nitetee Baba Nitetee Mungu wangu, Bwana Nitetee Mungu wangu Nitetee Mungu wangu Nitetee Mungu wangu Nitetee Mungu wangu Nakuomba Mungu Safari yangu imejaa vikwazo Safari yangu ina vita kubwa Safari yangu imejaa vikwazo Safari yangu ina vita kubwa Bila wewe Mungu, sitafika popote Bila wewe Bwana, sitafanya chochote Nitetee Mungu wangu Nitetetee, Baba Nitetee Mungu wangu Nitetetee, Baba Oh nakuomba Mungu wangu Nitetee Mungu,(we Mungu) nitetee Baba (we Mungu Wa Mbinguni) Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu) Nitetee Mungu,(Nakuomba Mungu Wangu) nitetee Baba (Nakuomba Baba) Nitetee Mungu wangu(eh), Bwana(Bila Wewe Siwezi) Nitetee Mungu,(Bila Wewe Siwezi) nitetee Baba (Siwezi pekeyangu Bwana) Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu) Adui zangu wamenitegea, mitego mibaya Lengo lao kwangu, wanataka waniangamize Adui zangu wamenitegea, mitego mibaya Lengo lao kwangu, wanataka waniangamize Nitetee Mungu, Nitetee Nitetee, Bwana, pigana nao Nitetee Mungu, Nitetee Nitetee, Bwana, pigana nao Matamanio yao kwangu, sio mazuri Mawazo yao, sio mazuri Mipango yaoi kwangu, sio mizuri Wananitazama kwa macho mabaya Nitetee Mungu wangu Nitetee Bwana wangu, nakuomba Mungu Nitetee Mungu,(we Mungu) nitetee Baba (we Mungu Wa Mbinguni) Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu) Nitetee Mungu,(Nakuomba Mungu Wangu) nitetee Baba (Nakuomba Baba) Nitetee Mungu wangu(eh), Bwana(Bila Wewe Siwezi) Nitetee Mungu,(Bila Wewe Siwezi) nitetee Baba (Siwezi pekeyangu Bwana) Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu) Nimesikia mingongono, ya adui zangu Wengi wanasema, tuone atafika wapi Nimesikia mingongono, ya adui zangu Wengi wanasema, tuone atafanya nini? Fanya kitu Bwana, wajue Fanya kitu Bwana, wakutambue Dhibitika mbele yao, wajue Dhibitika mbele yao, wajue Pigana nao, Bwana – Wajue Nenda mbele yangu, Bwana Nenda mbele yangu, nitetee mungu wangu Nitetee Mungu wangu Nitetee Mungu,(we Mungu) nitetee Baba (we Mungu Wa Mbinguni) Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu) Nitetee Mungu,(Nakuomba Mungu Wangu) nitetee Baba (Nakuomba Baba) Nitetee Mungu wangu(eh), Bwana(Bila Wewe Siwezi) Nitetee Mungu,(Bila Wewe Siwezi) nitetee Baba (Siwezi pekeyangu Bwana) Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu)