One Two (Feat. Lava Lava)
Diamond Platnumz
4:00Oh nanananana (Eeh) Oh nanananana (Eeh) Oh nanananana (Eeh) Oh nanananana (Eeh) Oh salamu zangu za kwanza Ah ziende kwa Mola na mama Za pili Chamng'aza Wamwambie asante sana Za tatu kwa dada yangu Asma na Halima kimwana Waambie wasijali, Sijachoka napambana Hii dunia ina mengi Yenye hela na matatizo Ogopa mapenzi Kwa maana huwanga shinikizo Hii dunia ina mengi, Yenye hela na matatizo Ila sio mapenzi Ndio huwaga chanzo cha vita Oh nanananana (unajua wananipinga) Oh nanananana (tena naamini ntashinda) Oh nanananana (hata wewe unapingwa) Oh nanananana (ila amini utashinda) Ayayaya (eeh) ayayayaya (eeh) Yayayaya, oh tena yana matatizo Ayayaya (eeh) ayayayaya (eeh) Ili muradi wakuharibie Ah Mola, Oh nilindie rafiki zangu Na uwape upendo ndugu zangu Mola waamini mie na Tale wangu mimi Na niwapende na mati zangu Naonekana mjinga na kwetu nilifunzwa Ndio maana kila wasema huwaga na funza Vimaneno maneno, haviwezi niuguza Sio siwezi, najua ndo chanzo cha vita Oh nanananana (unajua wananipinga) Oh nanananana (tena naamini ntashinda) Oh nanananana (hata wewe unapingwa) Oh nanananana (ila amini utashinda) Ayayaya (eeh) ayayayaya (eeh) Yayayaya, oh tena yana matatizo Ayayaya (eeh) ayayayaya (eeh) Ili muradi wakuharibie Oh nanananana (unajua wananipinga) Oh nanananana (tena naamini ntashinda) Oh nanananana (hata wewe unapingwa) Oh nanananana (ila amini utashinda) Oh, ah ziende kwa Mola na mama Ah, umwambie asante sana Ooh, toa sama paukalamba Ima umwabie Tumi asante sana Hivi Tuji anaringa, Qboy anaringa Mara Rongi anavimba Kuzusha zusha mwana Chege anaringa, Suta anavimba Mkubwa Fela anaringa ili mradi tulewe ma Oh nanananana Oh nanananana