Ninakushukuru
Double 8
3:01Verse 1: Nimezama kwenye dimbwi la mapenzi Kutoka siwezi Jua kwamba moyo wangu umeuchukua You got me going crazy Maana, umeiteka akili yangu, Everytime ninapokuona, najihisi mwenye furaha, Nikiziangalia mbingu Usiku wenye kiza wewe ndio nyota inayong'aa Let me be your pillow, you are my sweet love Kama we sijaona I want to be your hero, I'm going to follow Kila utachosema Chorous: Kipendacho roho, hula nyama mbichi When you know you are deep in love Penzi halijifichi Kipendacho roho, hula nyama mbichi When you know you are deep in love Penzi halijifichi Verse 2: Unapokua namii, nakuomba usiwe na uwogaa Naomba ujiamini, hakuna ataekurogaa clways be there for you baby You got to know I'm your soldier When I hold up your hand Lay your head on my shoulder Let me be your pillow, you are my sweet love Kama we sijaona I want to be your hero, I'm going to follow Kila utachosema Chorous: Kipendacho roho, hula nyama mbichi When you know you are deep in love Penzi halijifichi Kipendacho roho, hula nyama mbichi When you know you are deep in love Penzi halijifichi