Felicity (Feat. Ajay (Buruklynboyz) & Lilmaina)
Exray Taniua
3:29Ukitaka utani get it juu ya odds kaa betting Nataka shaky shaky kitu soft ka becky Katoto kako fine aki ya mungu nika keki Na pedi ako fiti ataniletea ma kreki Ukitaka utani get it juu ya odds kaa betting Nataka shaky shaky kitu soft ka becky Katoto kako fine aki ya mungu nika keki Na pedi ako fiti ataniletea ma kreki Itisha nasty nasty we ni naughty naughty Tuko shapri kapri boy wa ndom Ati hi niko happy happy like a lasty lasty natokeanga wapi ndani zone Uuuuuuuuiuuw Kata keki vile na slice up juu We ni charglize nanimecheki ukizi spice Na tepa tepa mbogi yote inaiziwasha Weba weba napendanga boooty tweker Sijui ka unanipata Ukitaka utani get it juu ya odds kaa betting Nataka shaky shaky kitu soft ka becky Katoto kako fine aki ya mungu nika keki Na pedi ako fiti ataniletea ma kreki Ukitaka utani get it juu ya odds kaa betting Nataka shaky shaky kitu soft ka becky Katoto kako fine aki ya mungu nika keki Na pedi ako fiti ataniletea ma kreki Ka anaishi poa alaf saa ni kifaa Independent kaamejioa hakapendi Sifaa Mchekeshee Sadaka utatoa ati upewe bidhaa Nikamsho mtaa si far Kam nkuonyehshe venye Inafaa Apa Kuna ndege nko na visa nataka sana ni board Dawa ya Kichwa Panadol Ka ni wa Shisha Hawezi bore Akipiga goti nampea ploti Niskie Kushadow Madow Madem wangu wote loyal Ndovu mi spendi mahoe Sjai shukisha libido Nkchachisha ni Gido Tippy toe touch yo toe naipigisha ni zido Sirens Piga Nduru tushangaze Next door Karen Kitu suru Ilifanya utoke samidoh Ukitaka utani get it juu ya odds kaa betting Nataka shaky shaky kitu soft ka becky Katoto kako fine aki ya mungu nika keki Na pedi ako fiti ataniletea ma kreki Ukitaka utani get it juu ya odds kaa betting Nataka shaky shaky kitu soft ka becky Katoto kako fine aki ya mungu nika keki Na pedi ako fiti ataniletea ma kreki Ladha zote mi ni nazo ka uwamini ask betty Baby bado minapando walicome up si wengi Ki Mercedes inasonga ndani yake fine lady Ona mi na krekii can you see the same as me Mtaka yote ukosa yote sawa basi nipe fursa Nikuonyeshe akuna kitu mimi stunner naeza tupa Upepo mbaya ishindwe na isifie ka ni runda Aluta nachuna chunga unaeza skumwa Mmmh venye uwakas kawaida basi ndovu nipe moja nipe sensimila Staki swai mimi bado staki jina ni stunner man No other man na maarifa Ukitaka utani get it juu ya odds kaa betting Nataka shaky shaky kitu soft ka becky Katoto kako fine aki ya mungu nika keki Na pedi ako fiti ataniletea ma kreki Ukitaka utani get it juu ya odds kaa betting Nataka shaky shaky kitu soft ka becky Katoto kako fine aki ya mungu nika keki Na pedi ako fiti ataniletea ma kreki