Yanipasa Nikushukuru
Fanuel Sedekia
3:46Umeweka wimbo Kinywani mwangu Bwana niimbe Sifa zako Umeniumba Ili nikuabudu Nakuabudu Nakuabudu Wewe uketie juu Ya vyote Sifa hizi Zifike kitini mwako Wimbo huu ukawe Manukato Wewe uketie juu ya vyote Sifa hizi Zifike kitini mwako Wimbo huu ukawe Manukato Wewe ni niko ambae Ni niko Milele ilopita Na Milele ijayo Sioni cha kunishibisha Moyo wangu Badala ya kumwabudu Mtakatifu Wewe uketie juu Ya Vyote Sifa hizi Zifike Kitini mwako Wimbo huu ukawe Manukato Wewe iyeiye Wewe uketie juu ya vyote Sifa hizi Zifike kitini mwako Wimbo huu ukawe Manukato Wewe iiye Wewe uketie juu ya vyote Sifa hizi Zifike Kitini mwako Wimbo huu ukawe Manukato Pekee yako wastahili (Wewe uketie juu) Wastahili wastahili (Ya Vyote Sifa hizi zifike kitini pako) Wimbo huu ukawe manukato Manukato manukato Kama sadaka ya habeli Manukato Kama zaburi ya daudi Manukato Kama sadaka ya habeli Manukato Kama zaburi ya daudi Manukato Manukato Manukato Manukato Nakupenda bwana Wimbo huu ukawe Manukato