Mfinyanzi
Fanuel Sedekia
5:50nataka wewe rafiki ako nikujue nikujue nataka niwe karibu nawe nikujue nikujue nataka nikujue sana ili niwe nayo amani ndipo hayo mema yatakapo nijia mimi wengine wanataja magari na farasi bafarasi lakini mimi nitaritaja jinalako Bwana wangu