Notice: file_put_contents(): Write of 643 bytes failed with errno=28 No space left on device in /www/wwwroot/muzbon.net/system/url_helper.php on line 265
Femi One - Utawezana (Feat. Mejja) | Скачать MP3 бесплатно
Utawezana (Feat. Mejja)

Utawezana (Feat. Mejja)

Femi One

Альбом: Utawezana
Длительность: 3:11
Год: 2020
Скачать MP3

Текст песни

Femi, ndio ule Mejja, ndio ule Mejja
Si ulikuwa unadai kuchapiana na yeye
Ishia, ishia, ishia
Rico Beats, Mr. 808

Okwonko pole nimekuja ghafla (usijali)
Ni vile we' hukuwa umenibamba
Aah, Femi One pia kwangu we' ni mso
Kwanza vile ulituosha kwa ile verse ya Ligi Soo, eeh

Nakupenda manze we' hukuwa mhumble (asanti)
Legend, kwangu we' ni icon
Aah, story za icon kwanza weka mbali
Femi one, mi hukuwa nimekutamani

Eeh, Okwonko umeanza kunichocha? (Aah Zi)
Nishow, ni wapi uliniona?
Aah, Femi One (eeh?)
We' hunibamba, kwa Instagram nikicheki izo mapaja, aah

Okwonko na kitambi, utawezana? (Ntawezana)
Nikikupea, utawezana? (Ntawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah

Okwonko na kitambi, utawezana? (Ntawezana)
Nikikupea, utawezana? (Ntawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda kama vile napenda Tumbler

Iko, haga yako iko
Naipenda ka mke nyumbani na mwiko (eh-eh)
Mejja umeanza kuniflatter (ah-ah)
Unataka kunikula kama platter
Ah, iyo kifua nataka kuichambua (eh)
Mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua, ah

Kidesign umeanza kunibamba
Nikikupea usiende kutangaza
Iyo ni siri (wazi)
Ka PIN number
Sitaambia mtu, sitaambia ata King Kaka
Haina noma, leo utanikula
Lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja

Okwonko na kitambi, utawezana? (Ntawezana)
Nikikupea, utawezana? (Ntawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda Tumbler, ah

Okwonko na kitambi, utawezana? (Ntawezana)
Nikikupea, utawezana? (Ntawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah

Napenda machali wako na swagger (okay)
Nikicheki fashion yako, hapana
Femi One, hao machali luku-luku
Ni luku tu lakini hawana kakitu

Ah, nataka kurombosa hadi chini
Ah, nataka kuiokota uko chini
Ah, napenda kupakwa nikiwa juu
Ah, siteti napenda iyo view

Fungua bonnet (okay)
Toa screw (aha)
Mbona unanidai? Na usiniambie uongo
Ah, nakudai juu umetoka ghetto
Na we' ni manzi hardcore
Manzi mathongo (aah)

Okwonko na kitambi, utawezana? (Ntawezana)
Nikikupea, utawezana? (Ntawezana)
Manze Femi One nikikupata
Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah

Femi uno
Mtoto wa Khadija (haha)