Glory
Fid Q
2:55Ooh mama eeh eeh nisaidie.. Ninavyojua moyoni mwangu mapenzi yamekuangukia Mwanamama eeh eeh nisaidie.. Ninavyojua moyoni mwangu, mapenzi yamekuangukia Kinachonishangaza penzi langu Nilijua haligawanyiki Mbeleko moja niliyonayo, mkiwa wawili nitawabeba vipi? Ninakufuata na uso mkavu.. Mahitaji ya moyo hayapingiki Nikueleze yanayonisibu ili niwe nawe wangu wa ndoto mswitii Tungefanya mengi Kama tungekua wapenzi Tungefanya kila kitu ila shida una mtu una mtu una mtu Yaani tungefanya mengi baby.. Kama tungekua wapenzi eeh.. Tungefanya kila kitu ila shida una mtu una mtu una mtu una mtu Ooh baba eeeeh eeeh nisaidie.. Ninavyojua moyoni mwangu mapenzi yamekuangukia Mwanababa eeh eeeh nisaidie.. Ninavyojua moyoni mwangu mapenzi yamekuangukia Kinachoshangaza penzi langu Nilijua haligawanyiki Mbeleko moja niliyonayo, mkiwa wawili nitawabeba vipi? Ninakufuata na uso mkavu.. Mahitaji ya moyo hayapingiki Ninakueleza yanayonisibu ili niwe nawe wangu wa ndoto mswitii Tungeweza fanya mengi Kama tungekua wapenzi Tungefanya kila kitu ila shida una mtu una mtu una mtu Tungeweza fanya mengi.. Kama tungekua wapenzi Tungefanya kila kitu ila shida una mtu una mtu una mtu Ungependa twende Zanzibar? Au mombasa kwao La Moto KAA? Au Mumbai kwa makinjabai? Au dubai.. au tubaki dar? Niambie wapi patafaa Wapi tutakaa, wapi tutabaki Wapi tutang’aa? wako wapi ambao hawatutaki? Ninasikia kuna jamaa ashachomeka mguu kati Ninaambiwa kuna Jamaa ashajiweka.. sijui wapi Ninachojali ni hii furaha ambayo usipocheza tu siipati Tungekua wapenzi.. tungesound kama fresh kids Juu kama pound hatuendi down kwa brexit Tungefanya mengi sio kukubusu.. tu you’re beautiful Penzi ningelienzi ila una mtu boo, inahusu boo!?? Tungeweza fanya mengi Kama tungekua wapenzi Tungefanya kila kitu ila shida una mtu una mtu una mtu Tungeweza fanya mengi.. Kama tungekua wapenzi Tungefanya kila kitu ila shida una mtu una mtu una mtu Tungeweza fanya mengi Kama tungekua wapenzi Tungefanya kila kitu ila shida una mtu una mtu una mtu Tungeweza fanya mengi.. Kama tungekua wapenzi Tungefanya kila kitu ila shida una mtu una mtu una mtu