Glory
Fid Q
2:55Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe They call Black Pablo Nusu mtu kwa mipango Ninavyozikimbiza Njaro Nina double hizi hustle Fanya unipate, ugawe mkate hauna plan b Kana ujikate, uliwe mate.. uharibu CV Level ipo juu spidi ya flight Resi ipo high Hatusimami hatukai Jozi to Dubai Vile ninayumba ilo rhumba na bebe Ninawachanganya wachumba yaani zege Utachunda ule pumba kwa debe Kawadanganye mapunda wewe bwege Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe Alhamdulillah.. sitiitii huruma nimekua chuma showshow Na haikatai.. hata mkinuna hapa hakuna utoto Sifai na siwezi buma.. nishachuma dodo Sinyongi tai na ninatuna kama nyuma nina PO PO (POLICE) Au dojo la mtaa.. don’t play wewe cheza lotto Na sinaga bei.. hautaki niongee? Mnafki funga kopo Hauvuni usichopanda guy Hauhudumii vipi chanda udai? Ninawekeza kwenye assets, mambo ya liability ya nini? Ninawekeza kwenye ardhi ninajua Mwenyezi haumbi nyingine Imagine leo unanunua V8 halafu kesho inacrash mashine Kutopata unachotaka huwa ni bahati saa zingine Tajiri hakosei.. kauli ya maskini haina uzito Na kesho haitokei hadi jana iende likizo Ukiibuka home mikono tupu..lazima wakunange wewe ni tatizo Ukibeba zawadi…unapokelewa Kwa shangwe na vifijo Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe Ile price ya yesterday Sio ya today/ Nimepanda bei Mie sio fala wewe Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe Ishatoka.. ikirudi pancha au imedoda Mie ninaitafuta namba moja Hauthaminiki kama afya kabla ya ugonjwa? Mimi sishkiki na ninasonga Maajabu ya kibig tymer sichuji kama Mannie Fresh Mke wangu anajua mahesabu haitafuti thamani ya X Yeye ndio designer.. pa suti hanivishi vest Eeh Mungu niepushe na groupies na wazushi wenye roho nyepesi Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe Ile price ya yesterday Sio ya today Nimepanda bei Mie sio fala wewe