Conjesta Two
Fresh Jumbe
4:50Nichukie sana nipige na vita Hasidi wewe Lakini elewa wa mbili ni wa mbili tu hasidi wewe Nichukie sana nipige na vita Hasidi wewe Lakini elewa wa mbili ni wa mbili tu hasidi wewe Dunia hii si mbaya jamani bali vituko ni vyetu binadamu wenyewe Mungu katuumba sisi binadamu wake na kila mmoja wetu akampa kipaji chake Ili ajisaidie katika maisha yake na ili afanikiwe katika maisha yake iiih Nichukie sana nipige na vita Hasidi wewe Lakini elewa wa mbili ni wa mbili tu hasidi wewe Nichukie sana nipige na vita Hasidi wewe Lakini elewa wa mbili ni wa mbili tu hasidi wewe Inashangaza sana ah ah watu fulani huwa hawapendi hata maendeleo ya wenzao Wanasahau kabisa aliyenipa mimi ndiye huyo huyo huyo huyo uuh aliyewanyima wao Na bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi ukilalia mlango wazi utaibiwa wewe iiih Nichukie sana nipige na vita Hasidi wewe - Wacha chuki binafsi wewe wewe Lakini elewa wa mbili ni wa mbili tu hasidi wewe - Hasidi wewe Nichukie sana nipige na vita Hasidi wewe - Hasidi wewe Lakini elewa wa mbili ni wa mbili tu hasidi wewe Mafanikio yako wazi kaka kwa yeyote muhangaikajie Mambo mazuri yako wazie kwa yeyote mchakarikajie Mafanikio yangu ni matokeo ya juhudi zangu uuh Na mafanikio yako yatakuja kwa juhudi zaaako Chuki zako kwangu ni bure He ni bure tu Chuki zako kwangu ni bure He ni bure tu Chuki zako kwangu ni bure He ni bure tu Chuki zako kwangu ni bure He ni bure tu Nimefanikiwa kutokana na juhudi zangu Wala sio njia nyingine unazozifikiria wewewe Nichukie sana nipige na vita Hasidi wewe - Ah yayayayah! Lakini elewa wa mbili ni wa mbili tu hasidi wewe - Hasidi wewe Nichukie sana nipige na vita Hasidi wewe - Hasidi wewe Lakini elewa wa mbili ni wa mbili tu hasidi wewe