Olivia Leo
Fundi Konde
3:06Tausi ndege wangu, Ndege wangu wa fahari, Ndege umekwisha mali, sasa wataka nini. Tausi ndege wangu, Ndege wangu wa fahari, Ndege umekwisha mali, sasa wataka nini. Wapita watu wawili, Wameleta uramali, Sasa tuko mbali mbali. Wapita watu wawili, Wameleta uramali, Sasa tuko mbali mbali. Tausi ndege wangu, Ndege wangu wa fahari, Ndege umekwisha mali, sasa wataka nini. Tausi ndege wangu, Ndege wangu wa fahari, Ndege umekwisha mali, sasa wataka nini. Wapita watu wawili, Wameleta uramali, Sasa tuko mbali mbali. Wapita watu wawili, Wameleta uramali, Sasa tuko mbali mbali. Wapita watu wawili, Wameleta uramali, Sasa tuko mbali mbali. Wapita watu wawili, Wameleta uramali, Sasa tuko mbali mbali, Sasa tuko mbali mbali, Sasa tuko mbali mbali, Sasa tuko mbali mbali.