Juu (Feat. Jay Melody)
Geniusjini X66
3:27Oooh baby Crazy over crazy Ooooh baby As you know nakupenda baby I don't wanna lose you Because you give me everything i want I know you got me now I don't wanna lose you Mapenzi yako yamefanya Iwe rahisi kukupa moyo wangu Kwenye mamia nakuona wewe Hata nifumbe macho Nakuona wewe Nakuona wewe tu Wewe Wewe Wewe Nakutaka wewe tu Wewe Wewe Wewe Kama mau linavyostawi Utamu wako chips mayai Nimeshaapa moyo siugawi Aaaaah moyo siugawi Kama ni zari la mentali Nimekupata wewe kihalali Kama safari twende Dubai Mapenzi yako yamefanya Iwe rahisi kukupa moyo wangu Kwenye mamia nakuona wewe Hata nifumbe macho Nakuona wewe Nakuona wewe tu Wewe Wewe Wewe Nakutaka wewe tu Wewe Wewe Wewe