Unaefurahisha Moyo Wangu
Godricks Kitui Wanyonyi
3:30Wanaongea nyuma yangu, lakini nipo juu Wanapanga niporomoke, bado nainuka tu Maneno yao moto, lakini mimi ni barafu Wakidhani nitaanguka, wanacheki nimesimama tu Wivu yao kama upepo, unanisukuma mbele Wanavyochukia nacheka, moyo wangu japo waniuma Mapenzi ya Mungu tele. Kila chuki ni mbolea, mafanikio yanamea Chorus (x2) Wivu yako, baraka yangu ooh na na Maneno yenu, yawezi nizuia Chuki yenu, mwangaza wangu eeh Mimi napanda sishuki siondoki. Verse 2 Sina hasira na nyinyi, namtegemea Mungu Najua safari yangu, si ya mwanadamu Mnajenga visiki, najenga daraja juu Nikipita mtasema, huyu anakuanga talent Siku zote mimi najua, Maisha safari ndefu Roho safi ina nguvu, huvunja chuki na wivu Nitawapenda kimya, nitafaulu kwa sauti Haters wanavyonguruma, mimi natoa muziki Final Chorus (x2) Wivu yako, baraka yangu ooh na na Maneno yenu, yawezi nizuia Chuki yenu, mwangaza wangu eeh Mimi napanda sishuki siondoki.