Hohehahe
Golden Tz
3:36Hiih hiih Golden (Bad) Polepole kidole na macho Nibembeleze kwako mi mtoto ooh Mama umetingisha nyaya Penzi konki moto fire Mi kwako nagwaya gwaya Mkombozi Mimi nawe twarandana Mwiko kubanduka Mchokozi Cha uvunguni chutama Cha kuruka ruka Mi kwanza ukinigusa gusa Yalaa! Ukinitazama usoni Yalaa! Ukinishika mgongoni Yalaa! Iye iye iye Mi kwanza ukinigusa gusa Yalaa! Ukinitazama usoni Yalaa! Ukinishika mgongoni Yalaa! Iye iye iye Nyodo sina nyodo sina Iyee Iyee iyee Bae you make kolo kolo Kolo Bae you make kolo kolo Umenishika pabaya Nyodo sina nyodo sina Iyee Umenishika pabaya Mtoto jicho jicho Hodi hodi mpaka ndani Nchovya kwa kijiko Utamu mpaka kisogoni Ona nalegea nalegea Kabisa mdembwedo Mawinguni napepea napepea Imekatika pedal Mkombozi Mimi nawe twarandana Mwiko kubanduka Mchokozi Cha uvunguni chutama Cha kuruka ruka Mi kwanza ukinigusa gusa Yalaa! Ukinitazama usoni Yalaa! Ukinishika mgongoni Yalaa! Iye iye iye Mi kwanza ukinigusa gusa Yalaa! Ukinitazama usoni Yalaa! Ukinishika mgongoni Yalaa! Iye iye iye Aahhh Nyodo sina nyodo sina Iyee Iyee iyee Bae you make kolo kolo Kolo Bae you make kolo kolo Umenishika pabaya Iye aye aah Iye aye Umenishika pabaya Iye aye aah Iye aye Umenishika pabaya Iye aye aah Iye aye Umenishika pabaya Iye aye aah Iye aye Umenishika pabaya