Notice: file_put_contents(): Write of 624 bytes failed with errno=28 No space left on device in /www/wwwroot/muzbon.net/system/url_helper.php on line 265
Guardian Angel - Hadithi | Скачать MP3 бесплатно
Hadithi

Hadithi

Guardian Angel

Альбом: Hadithi
Длительность: 3:37
Год: 2020
Скачать MP3

Текст песни

Hadithi
Hadithi njoo
Oh
Hadithi njoo, hadithi
Hadithi njoo
Njoo oooh

Kuna bwana mmoja wa kichaa
Alipenda kuomba chakula kwa mama fulani, mama fulani
Oh oh ooh
Siku moja yule mama alipanga amtilie sumu
Yule wazimu akila afe
Aondoke kabisa ah
Kule njiani alipatana na watoto wa yule mama
Akawangawanyia kile chakula aah
Watoto wake wakala wakafa
Yule wazimu akabaki mzima
Ishara kwamba unayoyatenda
Unajitendea mwenyewe
Watoto wake wakala wakafa
Yule wazimu akabaki mzima
Ishara kwamba unayoyatenda
Unajitendea mwenyewe

Ukitenda mema
Unajitendea mwenyewe
Ukitenda maovu
Unajitendea mwenyewe
Ukitenda mema
Unajitendea mwenyewe
Ukitenda maovu
Unajitendea mwenyewe eeh

Salimia watu pesa huisha
Gari hupata puncture,
Hivi ni vitu vya dunia
Oh oh ooh
Hichi kidole nachowanyoshea watu
Vingine vinne ninajinyoshea mwenyewe
Aah
Hichi kidole nachowanyoshea watu
Vingine vinne ninajinyoshea mwenyewe
Aah
Naozungumza nao juu ya wenzangu
Ah ah aah
Wanazungumza nao juu yangu mimi
Naozungumza nao juu ya wengine jamani
Oo oo ooh
Wanazungumza nao juu yangu mimi

Tenda mema
Ondoka uende
Alo' na chuki na wewe mpende
Kwa sababu unayoyatenda
Unajitendea mwenyewe tenda mema
Ondoka uende
Alo' na chuki na wewe mpende
Kwa sababu unayoyatenda
Unajitendea mwenyewe
Eh eei

Ukitenda mema
Unajitendea mwenyewe eh
Ukitenda maovu
Unajitendea mwenyewe eh
Ukitenda mema
Unajitendea mwenyewe eh
Ukitenda maovu
Unajitendea mwenyewe eh

Hadithi
Hadithi njoo
Hadithi njoo
Hadithi
Hadithi njoo
Njoo Oooh

Ukitenda mema
Unajitendea mwenyewe
Ukitenda maovu
Unajitendea mwenyewe eh
Ukitenda mema
Unajitendea mwenyewe
Ukitenda maovu
Unajitendea mwenyewe eh
Ukitenda mema
Unajitendea mwenyewe
Ukitenda maovu
Unajitendea mwenyewe eh
Ukitenda mema
Unajitendea mwenyewe
Ukitenda maovu
Unajitendea mwenyewe eh