Notice: file_put_contents(): Write of 631 bytes failed with errno=28 No space left on device in /www/wwwroot/muzbon.net/system/url_helper.php on line 265
Guardian Angel - Swadakta | Скачать MP3 бесплатно
Swadakta

Swadakta

Guardian Angel

Альбом: Funga Mdomo
Длительность: 3:33
Год: 2024
Скачать MP3

Текст песни

Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta nawe,
Safi nawe,
Wangu mtima unabubujika nawe,
Natamani tu kukamata selfie nipost ili watu wajue niko sambamba nawe
Swadakta nawe,
Safi nawe,
Wangu mtima unabubujika nawe,
Natamani tu kukamata selfie nipost ili watu wajue niko sambamba nawe

Maombi uliyasikia
Milango ukanifungulia
Izo ma blessing nikazipokea eh
Niko sawa Sawa
Maombi uliyasikia
Milango ukanifungulia
Izo ma blessing nikazipokea eeh

Niko sawa Sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa

Niko swadakta kwako tu ndio mi nadata ,
Kile naitisha ni napata enemies unawascatter,
Kwako tam kama kashata niko sawa
Niko swadakta kwako tu ndio mi nadata ,
Kile naitisha ni napata enemies unawascatter,
Kwako tam kama kashata niko sawa

Maombi uliyasikia
Milango ukanifungulia
Izo ma blessing nikazipokea
Niko sawa
Maombi uliyasikia
Milango ukanifungulia
Izo ma blessing nikazipokea
Niko sawasawa

Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa

Niko swadakta walonicheki kwenya street wanajua, ooohh wanajua,
Niko swadakta walonicheki kwenye slum wanajua, ohhhh wanajua,
Niko swadakta walonichi kwenye cell wana wanashangaa,
Niko swadakta nilowaomba pa kulala wanajua kwamba unainua,
Kama uliniinua, nao utawainua wawe swadakta wawe Sawa Sawa

Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa
Swadakta na wewe, najua unachunga maisha yangu
Swadakta na wewe,
Niko sawa sawa