Disconnect (Feat. Marioo)

Disconnect (Feat. Marioo)

Harmonize

Альбом: Disconnect
Длительность: 3:26
Год: 2024
Скачать MP3

Текст песни

Mmm
(S2kizzy baby)
Zombie sikutaji humu, eh
Yaw, yaw, hmm
Bad (bomboclat), hallo, he-he
Shii, hmm

Zombie star (honey, honey, honey, honey, honey)
Abaah star (honey, honey, honey, honey, honey)
Jaivah star (awe)
Mi' mwenyewe mega superstar, ah

So, utasema nini? (Uh)
Uh-uh, uh, na-na-ko, ooh
We catching vibe not feeling, wenzako, ooh
Uh-uh, uh, na-na-ko
Haters shut up, sura baya, toka hapa!

No disconnect (mm, yeah, mm)
Disconnect (mm, yeah, mm)
No disconnect (mm, yeah, mm)
Disconnect (mm, yeah, mm)
No disconnect

Yaw, yaw (Bomboclat)
Happy new year, yes, new life
Mungu baba, nitoe kwenye kundi la wafu
Wanaonichukia, baridi, barafu
Nguo zao safi, moyoni wa chafu

(Yes, new life)
Mungu baba nitoe kwenye kundi la wafu
Wanaonichukia, baridi, barafu
Nguo zao safi, moyoni wa chafu

Na kama una bad energy, stay far away
Una comment utumbo na hujala we, eh-eh!
Na kama una bad energy, stay far away
Toka na pigo zako za kifara we (kwendaa!)

Shika shikonko, kwenda sukuma
Shika shikonko (eeh)
Baki huko huko, kwenda sukuma
Baki huko huko (kwenda)

I'm m- f- superstar
Hadi baby, yako inanishangaa
Oya dear hater, shut up
Sura baya, toka hapa

No disconnect (mm, yeah, mm) (yaw, yaw)
Disconnect (mm, yeah, mm)
No disconnect (mm, yeah, mm)
Disconnect (mm, yeah, mm)
No disconnect