Sijalewa
Harmonize
2:59(Monster) Thanks God I have see the another day And am too special Ingawa sijaiona kesho Mh I'm big African super star From mtwara city boy go far Pretty morning baby see them car Nazina pakukaa an' I got this far And I was born rida Yani kiufupi nazijua shida Kusimangwa kutukanwa kwangu kawaida naona barida Yes they call me boss Kama utaki sikuforce I love the way I love me Come my big fan of meee Mh nisamehe kama nakukera Ila kitaa ndo kimenipa bendera Narusha masela mpaka walo jela Of course of course of course Konde boy I'm sojour Mi sina time yakungoja They call me tanzania one namba moja Kama ukibisha bisha kwa hoja eeeh Hawaniwezi hawaniwee Hawaniwezi hawaniwee Hawaniwezi Nimeshindikana hawaniwezii Hawaniwezi hawaniwee Hawaniwezi hawaniwee Hawaniwezi Nimenyongorota hawaniwezii Thanks no place you can buy my life Just I no I'm rich than anybody iiiiiih Me am fia no body uuuuh Am stronger Boya akizingua namgonga Mi nabadilika ka kinyonga Huwezi amini ndo kinyago walicho chonga Wanatia sumu kunijaribia Mi nakula ndumu nafikiria Kutimiza majukumu yafamilia kuihudumia I'm universe connected Yes no one expected To your God an the most bigger one take and accepted Taratibu husije ukaniiga mmh Kama ligi hii laliga So my life what you that nigger Huwezi kula nnapokula twiga I'm farway Hawaniwezi hawaniwee Hawaniwezi hawaniwee Hawaniwezi Nimeshindikana hawaniwezii Hawaniwezi hawaniwee Hawaniwezi hawaniwee Hawaniwezi Nimenyongorota hawaniwezii