Nitachelewa

Nitachelewa

Ibraah

Альбом: Nitachelewa
Длительность: 3:29
Год: 2020
Скачать MP3

Текст песни

Ah uh oh . Oh Chinga
Ah... Ah uh oh (B Boy Beats) yeah!

Sijui hata nifanyeje
Sijui ata nifanyeje nini me
Maana ata siamini
No ow oho
Nilikula kiapo nikungoje
Ila baado haingii akilini
Maana nishakula ya miniyawe
Eh
Kwa mashogazo ulichota mafumbo
Ngoja ngoja inaniumiza tumbo
Masikini umeshafata mkumbo
Yaani umesepa
Umeziacha zimejaza na rundoo
Na una ponda yangu fupi nyundo
Eti unanigong’a Tajiri wa uvundo

Ndio chanzo umeniteka ah
Na ninaimani nitajijengea
Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya
Maana before nilitimia
Leo uwe mfano wa bandama umebanduka
Labda yangu nyota Imefifia
Wamekuteka wewe ah we ah

Simanzi imenilemea shilingi imepinduka
Kama usiporudi
Nitachelewa (ooh uu ooh)
Kupona nitachelewa
Ah nitachelewa mama
Nitachelewa
Kupona nitachelewa
Kupona maradhi ya moyo
Nitachelewa (yeah)
Kupona nitachelewa
Kama si wewe nani tena
Nitachelewa, kupona nitachelewa
Nitachelewa mama
Aah.. uhmm yeah yeah oooh .Yeah

Mi najaribu kujisahaulisha
Ila moyo unagoma, unagoma
Hasa nikikumbuka
Zako methali na nahau
Japo unanionyesha dharau
Moyo hautaki komaa kukoma
Mwingine staki penda
Na usidhani ka nitakusahau
Ooh maana
Vita penzi lako ntapigana
Nikiamini utarudi we changama
Maana siko sawa ujue
Mkuki kwa nguruwe
Kwa binadamu mchungu,wanaogombana
Siku zote ndio wanaopatana
Ama unapenda mii ninavolalama
Sijui nilipokosa ujue
Na malengo ujue
Mi najua wewe langu fungu

Na nina imani nitajijengea
Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya
Maana before nilitimia
Leo uwe mfaano wa bandama umebanduka
Labda yangu nyota Imefifia wamekuteka
We hayaa we hayaa

Simanzi imenielemea shilingi imepinduka
Kama usiporudi
Nitachelewa (ooh uh o)
Kupona nitachelewa
(Ah nitachelewa mama)
Nitachelewa
Kupona nitachelewa
Kupoona maradhi ya moyo
Nitachelewa (yeah)
Kupona nitachelewa
(kama sio wewe nani tena)
Nitachelewa (oh na)
Kupona nitachelewa

Nitachelewa mama
Chinga, Konde Music Worldwide

Yeah yeah yeah yeah