Niwewe
Jackson Yusuph
4:17Safari hii tuliyo nayo Ya kwenda mbinguni hii Ni safari ndefu sana Yenye vikwazo huuuuh Majaribu changamoto Dhoruba michongoma Mola wangu nisaidie Nifike kwako salama Peke yangu siwezi iiih Peke yangu nitashindwa aaah Mola wangu nishike mkono Nifike kwako salama Tembea namii uniwezeshe eeh Bila wewe siwezi Safari hii ni ngumu sana aaah yoyo Yoyo ooh baba niongoze Niongoze eeeh (Peke yangu siweziii) Mimi siwezi (Nishike mkono ooh) Tembea namiii (Tembea nami bwana) Usiniachee sitoweza aah Mimi ninani nifike Nisipowezeshwa nawewe Bwangu oooh Toka zamani za kale Uliwaongoza mitume na manabi Walifika kwako oooh salama Wana Israel walitembea Nawewe safari ndefu Lakini walifika Safari hii ni ngumu sana Yahitaji uvumilivu Maombi kwa wingi niwezeshe eeh Unisaidie baba, Nifike kwako oooh salama Tembea namiii uniongoze bwana Bila wewe siwezi nishike mkono ooh Niongoze eeeh (Peke yangu siweziii) Mimi siwezi (Nishike mkono ooh) Tembea namiii (Tembea nami bwana) Usiniachee sitoweza aah Oooh tembea nami iih Hii ye hii ye hii yeye hii ye Nishike mkono ooh Hii ye hii ye hii yeye hii ye Nishikilie baba Hii ye hii ye hii yeye hii ye Nakuhitaji yooo Hii ye hii ye hii yeye hii ye