I Don'T Know
Jay Melody
3:04Ololo jay once again uowo oh Siku hizi sipo ka zamani Makelele fujo mitani Mwendo wa kucheza na money Kuwaimbaisha majukwaani Wakiniona hi burudani Picha mbili tatu na ma fans Asienipenda ni nani Ka hataki afuse hewani Watu shangwe watu shangwe Na vigele gele (Watu shangwe watu shangwe Na vigele gele) X2 Super star ah They call me a super star ah Niki penda ah Watu wanapata raha Basi ni peace X2 Marafiki ni wengi sana Na ma babe ni wengi sana Na collabo ni nyingi sana Very soon ntapiga na burna Ona sasa wameacha mwanya Kila kona nnavyo wasakanya Nasikika usiku mchana Napendwa mpaka ngumu kubana Oooh loh sir god asante kwa hiki chako kikombe (Kikombe) La sivyo ingekua kinyonge Ooh loh sir god asante kwa hiki chako kikombe (Kikombe) La sivyo ingekua kinyonge Ooh loh Watu shangwe watu shangwe Na vigele gele (Watu shangwe watu shangwe Na vigele gele) X2 Super star ah They call me a super star ah Niki penda ah Watu wanapata raha Basi ni peace X2 Ai sikuizi nani siku hizi nani (Once again) Naitwa nani naitwa nani (Once again) Oya sikuizi nani siku hizi nani (Once again) Naitwa nani naitwa nani (Once again)"