No Turning Back Ii
Gaise Baba & Lawrence Oyor
5:00Umbea umbea kati ya wakristo Umetoka wapi twahubiri nini Umbea manyumbani umbea kanisani Fitina masengenyo acheni kabisa Umbea umbea umbea umbea Kati ya wakristo acheni umbea Shughulikieni yenu acheni uzushi Mambo yasiyofaa acheni kabisa Kanisani leo hata nashangaa Mbona watu waenda kuzusha umbea Atasimama mbele yenu dada aliyevaa nadhifu Awatolee ushuhuda kumbe ni mzushi 'Kimshinda kwa mavazi aanza uzushi Akusingizia asema wewe msherati Umbea umbea umbea umbea Kati ya wakristo acheni umbea Shughulikieni yenu acheni uzushi Mambo yasiyofaa acheni kabisa Hamtaki nivae wala 'niendelee Mradi naongoza mwaanza maneno Nikijenga nyumba ninunue gari Mwaanza kusema nala pesa za kanisa Wewe hutoa ngapi kati ya sadaka Ama zako zaliwa zingali mfukoni Umbea umbea umbea umbea Kati ya wakristo acheni umbea Shughulikieni yenu acheni uzushi Mambo yasiyofaa acheni kabisa Nikibarikiwa na pesa na mali Nawe ni mkristo waanza kuzusha Ashasoma dini ya shetani amwabudu ibilisi Mwaniharibia sifa Mungu 'tanilipia Umbea umbea umbea umbea Kati ya wakristo acheni umbea Shughulikieni yenu acheni uzushi Mambo yasiyofaa acheni kabisa Mwana mume na mke wakisikizana Waanza uzushi mume kapewa madawa Hawa wapendana tena ndoa yao Wanaidhamini sana mambo hutenda kwa ushirika Umbea umbea umbea umbea Kati ya wakristo acheni umbea Shughulikieni yenu acheni uzushi Mambo yasiyofaa acheni kabisa Umbea umbea umbea umbea Kati ya wakristo acheni umbea Shughulikieni yenu acheni uzushi Mambo yasiyofaa acheni kabisa Umbea umbea umbea umbea Kati ya wakristo acheni umbea Shughulikieni yenu acheni uzushi Mambo yasiyofaa acheni kabisa