Thank You (Feat. Watoto)
Msodoki Young Killer
4:02Mr nice guy I don't wanna be mr nice guy (ni kubaya) Eeey....!! Kuna siku ya kuamka vibaya vibaya, Siku ya kukamatwa na messeji mbaya, Ile siku ulilewa mbaya, Siku ulitumia hela ya mipango vibaya vibaya, Kuna siku wataamka vibaya, Hata ukifanya mema bado watakuelewa vibaya, Kuna siku vitu vitawazidia vibaya, Nakumbusha uhalisia sifundishi ubaya, Ndani yako kuna hawa unaweza kula tunda adam, Msaliti mwana wa adam (yuda), Amini usiamini mazingira yanaweza fanya uwe Hitler ama iddi-amin, Delillah ukanifanya samson, Kidondani ndo tunapofia, Panasumu lakini hatuna fear, Mapungufu tukonayo enzi na enzi Usimalize weka akiba ata ushenzi, Kuna siku utakutana na washenzi, Utautumia kishenzi shenzi type Mr nice guy (siwezi kuwa) Mr nice guy (sitaki kuwa) Mr nice guy (i dont wanna be) Mr nice guy (i dont wanna be) ×2 Hey ni kubaya ni kubaya, ni kubaya, ni kubaya, ni kubaya mamaaa Ni kubaya, ni kubaya Ni kubaya ooooooh Tunakosea sana, afu tunapatia tenah, Afu tunapoteana, afu tunafatiliana, Aaah hapo ndo sitopatikana (ni kubaya) Kuna siku ya kunogewa na massage saloon, Mabao ya bafuni na so kama ni uhuni, Na siwez kujifanya sipendi, happy ending,happy ending Na jina juu lipo kwa list pending, Madanguro ni namba one trending, I don't wanna be mr nice guy sawa eeeh, Usishangae kusikia Joh kachafua hali ya hewa, Acha kujilinganisha na msio sawa, Kufa masikini ukiita wenzio chawa, Msanii uwezi baki juu tu sawa, ya nini kupagawa, Ndo hizo story flani kaangukia kwenye madawa, Mitaa ya kati, katikati ya harakati, Bila makosa hakuna mpira kati, Na bila mpira kati, andaa mikakati, Kuna siku za kudondoka matikiti, Siku za mauzo ya match, hizo hata kwa wachungaji azikwepeki, Kazini kila siku kwani mi ni HR, kuna siku za kusema uongo, kutoa hongo, Whiskey, champagne na siku ya gongo I don't wanna be mr nice guy, Sitaki kuwa mi... Mr nice guy (siwezi kuwa) Mr nice guy (sitaki kuwa) Mr nice guy ( i dont wanna be) Mr nice guy (i dont wanna be)×2 Mapungufu tukonayo enzi na enzi, Usimalize weka akiba ata ushenzi, Kuna siku utakutana na washenzi, Utautumia kishenzi shenzi type ni kubaya, ni kubaya, ni kubaya, ni kubaya, ni kubaya mamaaa, Ni kubaya, ni kubaya, Ni kubaya ooooooh.