Chibaby
Jovial
3:36Hata ukiandika jina itakuwa nafuu bila hata kuposti Mi ntaridhika baba we ndio langu koti Ntashinda njaa nikupe ule misosi sosi Usipoonyesha kunijali baby moyo utauma Maana maumivu kwangu sio sawa Ukiniadhubu uuh uuh Nina huu wivu hatari fire Tena wa aibu Nakupa simu yangu upokee Waambie we ndio my baby Na uwawashie cheche wasitusumbue Katika hali zote nataka niwe na wewe tu Moyo utakasike Njoo tucheze, baishoo shoo Baishoo baby, baishoo shoo Kale kamchezo ketu ka Baishoo shoo, baishoo baby Baishoo shoo hadi watushangae Wakituma message uwajibu Nimekuruhusu, waambie vile upendavyo kujibu baby Nikipata maradhi we ndio tabibu baby nitibu Kama vile upendavyo kutibu baby Tungekuwa njiwa tungeruka tuwafunze Kwamba mi bawa lakushoto, we la kulia Wanajifanya wanajua hawajui Penzi letu moto hata tukifulia Nakupa simu yangu upokee Waambie we ndio my baby Na uwawashie cheche wasitusumbue Katika hali zote nataka niwe na wewe tu Moyo utakasike Njoo tucheze, baishoo shoo Baishoo baby, baishoo shoo Kale kamchezo ketu ka Baishoo shoo, baishoo baby Baishoo shoo hadi watushangae