Nisiulizwe

Nisiulizwe

Jux

Альбом: Nisiulizwe
Длительность: 3:10
Год: 2024
Скачать MP3

Текст песни

Yo—, yo—, you're so fine
Babe (hey)
I do this for you
Aah ah, mmmh
Nahisi, niko kwenye njozi
Huba limenikolea, kuamka sitamani
Tena nakusihi, ulilinde penzi
Mwenzako nimenogewa, hoi tahabani (hoi tahabani)
Na hata nikiumwa, we ndo unanitibu wangu dakitari
Kukupenda ni wajibu, nisiulizwe maswali
Baby nipe taratibu, huo utamu asali
Kukupenda ni wajibu, nisiulizwe no, no
Kwako nitangangana (nitangangana nawe)
Kwako nitangangana (nitangangana nawe)
Kwako nitangangana tuu (nitangangana nawe)
Ah, kwako nitangangana (nitangangana nawe)
Sababu I love you, yeah
I love you
Mmmh
Naanzaje kukucheat, nakifata kipi?
Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti
Tena umewaacha mbali, ulipo we hawafikii
Maombi yangu toka kale, nimepata rafiki (mmmh)
Na hata nikiumwa, we ndo unanitibu wangu dakitari
Kukupenda ni wajibu, nisiulizwe maswali
Baby nipe taratibu, huo utamu asali
Kukupenda ni wajibu, nisiulizwe no, no
Kwako nitangangana (nitangangana nawe)
Kwako nitangangana (nitangangana nawe)
Kwako nitangangana tuu (nitangangana nawe)
Ah, kwako nitangangana (nitangangana nawe)
Sababu I love you, yeah
I love you