Telenovela (Feat. Cedo)
Kidum Kibido
3:42Nakuomba mpenzi uniskize Tafadhali baby tuliza moyo Kwa kweli niko wako Hiyo usiwe na shaka Wewe kaa ukitabasamu Mara tu ukiniona Penzi letu halina kasoro Mimi na wee 'tapendana kiroho Akusihi, tuliza moyo Sherekea, furahia, penzi letu, baby Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea, furahia, penzi letu, baby Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu Niskize baby kwa makini Kwa kweli mimi nimekutamani Kilichoko mpenzi Wewe nipe nafasi Nikupe penzi hujawahi pewa Nikuguse mahali hujawahi guswa Kwa maana Penzi langu halina doa Kwa hivyo sasa tufunge ndoa Tuishi pamoja milele Sherekea, furahia, penzi letu, baby Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea, furahia, penzi letu, baby Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea, furahia, penzi letu, baby Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea, furahia, penzi letu, baby Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu Oh mpenzi wangu Skiza wito wangu siwezi Kuishi bila wewe Oh kichuna changu Songa karibu nami Nikushike, nikubusu Nikushike shike shike shike Penzi letu halina kasoro Kwa hivyo sasa tufunge ndoa Tuishi pamoja milele baby Sherekea, furahia, penzi letu, baby Cheza, imba mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea, furahia penzi letu, baby Cheza, imba, Sherekea, furahia, penzi letu, baby Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea, furahia, penzi letu, baby Cheza, imba, Sherekea, furahia, penzi letu, baby Cheza, imba, mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea, furahia, penzi letu, baby Cheza, imba