Notice: file_put_contents(): Write of 647 bytes failed with errno=28 No space left on device in /www/wwwroot/muzbon.net/system/url_helper.php on line 265
Kilimanjaro Band - Kinyaunyau | Скачать MP3 бесплатно
Kinyaunyau

Kinyaunyau

Kilimanjaro Band

Длительность: 6:45
Год: 2020
Скачать MP3

Текст песни

Nimekwisha zoea (mmmmh)
Kusemwa semwa na watu
Ya kwao hawayaoni
Kazi kusema ya watu

Basi leo nawambia
Maneno yenu sijali
Mtabaki ivyoivyo
Ya kwangu yaninyokea

Wacha Wacha waseme
Watasema mchana eeh
Usiku watalala
Wacha Wacha waseme

Leo Wacha Wacha waseme
Watasema mchana eeh
Usiku watalala
Wacha Wacha waseme

Mie na wangu nyumbani (halooo)
Mambo yangu burudani
Aaah masikio nimeziba leo
Sijali ya mitaaani

Kwangu nimemthibiti
Hasikii wala haoni
Kajaribuni kwingine
Hapa hamuoni ndani

Wacha Wacha waseme
Watasema mchana eeh
Usiku watalala
Wacha Wacha waseme

Oooh Wacha Wacha waseme
Watasema mchana eeh
Usiku watalala
Wacha Wacha waseme

Jamaani kinyaunyau nyaunyau kikiacha pweza
Wataka mambo hamtayaweza
Leo kinyaunyau kikiacha pweza
Mwataka mambo hamtaya weza

Aaah kinyaunyau nyaunyau
Kikiacha pweza
Wataka mambo hamtayaweza
Leo kinyaunyau kikiacha pweza
Mwataka mambo hamtaya weza

Mie na wangu nyumbani (haloooooh)
Mambo yangu burudani
Masikio nimeziba
Sijali ya mitaaani

Kwangu nimemthibiti
Hasikii wala haoni
Kajaribuni kwingine
Hapa hamuoni ndani

Wacha Wacha waseme
Watasema mchana eeh
Usiku watalala
Wacha Wacha waseme
Leo Wacha Wacha waseme

Watasema mchana eeh
Usiku wata lala
Wacha Wacha waseme

Vitu vitu
Vitu vitu
Vitu vitu
Vitu vitu

Vitu vitu
Vitu vitu
Vitu vitu
Vitu vitu

Weweee yaaah
Walomba yeeeeeeh
Lombaaaaaaah
Wayayayaa wayaya wayaya

Aaah mama chanja mama chanja (eeeeh)
Mimi njaa yaniuma (Kula)
Nnahamu nnahamu (eeeh)
Nyama chukuchuku (kula)
Na mboga ya kisamvu (eeeh)
Ivi ukunahuku (kula)

Mama chanja mama chanja (eeeeh)
Mie njaa yaniuma (Kula)
Nnahamu nnahamu (eeeh)
Nyama chukuchuku (kula)
Na mboga ya kisamvu (eeeh)
Ivi ukunahuku (kula)

Wayayayaa wayaya wayaya
Aaah mama chanja mama chanja (eeeeh)
Mimi njaa yaniuma (Kula)
Nnahamu nnahamu (Eeeeh)
Nyama chukuchuku (Kulaa)
Na mboga ya kisamvu (Eeeeh)
Ivi ukunahuku (Kulaa)