Baby Jo
King Adri
3:29Langu Shina Limejaza mapenzi Matawi ndo maumivu Lamana sinaa Yangu thamani Imepotea kipenda rohoo Aaaah aaaaah Mana niliteseka na penzi Kulielezea siwezi Ule unyonge wanguuu Ukaufanya fimbo Niliekosa mtetezi Mwanamkiwa sina Honey weeee eeh Mwezako Leo Gari bovu Laenda kwa kusukumwa ah Sina thamani Leo Maumivu yananiumaaa Aa aah Tafarani nikirudi umenunaa Aah ah Niliyajenga mazoea Ila ajue kwamba aaah Yanisibu Yanisibu Nibinadamu sijakamilika Yanisibu Yanisibu Ungenielewa Yanisibu Yanisibu Jua moyo unaniuma Yanisibu Yanisibu Eh eh Hali mbaya Ahhh ah ah Sina ubaya Sikujua Kwenye mapenzi Kuna ubahati mbaya Ningeelewaaa Yasingenigeukiaa Mi mtu mzima Naejua shida Na yenye furahaa Na majerahaa Mapenzi si mdarasi Nikishachumwa nitabweteka Maumivu ulonipa Mana bado hayajaishaa Nilikupenda kimakosa Leo imethibitika Kuwa Ni wewe Ulioanza Chanzo Mwezako Leo Gari bovu Laenda kwa kusukumwa Sina thamani Leo Maumivu yananiumaaa Aah aah Tafarani nikirudi umenunaa Aaah Niliyajenga mazoea Ila ajue kwamba aaah Yanisibu Yanisibu Nibinadamu sijakamilika Yanisibu Yanisibu Ungenielewa Yanisibu Yanisibu Jua moyo unaniuma Yanisibu Yanisibu Eh eh Hali mbaya Sina ubaya Yanisibu uh uh Yanisibu uh uh Yanisibu uh uh