Ufukara Sio Kilema
Les Wanyika
9:19rafiki yoo yoo yoo kwaheri uende ufike salama safari yako kwenda samburu kuona ndugu jamaa na marafiki ooo utapofika maralali nisalimie dokta maina mwezi decemba nataraji niombe livu niifike niwaone eee safari yetu les wanyika tulipofika maralali tulifurahi kuwapata rafiki wema na wenye nia njema...×2 asante sana dokta maina tena asante ndugu omolo