Niamini
Lomodo
3:35
Iyeee!! , mmh mmh! Eeeh!!
Nimekukabidhi moyo , usinifanyie choyo
Nimechoka kuwa solo oooh! Solo Ooooh!
Sitaki nyama kibogoyo
Nipe maini supu ya kongoro
Ila geto usiwe mtoro oooh!!
My baby namwagilia huu upendo
Mimi na wewe milele daima (daima ,daima)
Yani baby Nalilia huu upendo
Nyuma nilishateseka kiaina (Kiaina , kiaina)
Eeh! Naumbo lako dogo dogo baby
Kisura chako chaki baby face
Mimi utaniumiza kama nikikukosa
Maana kila ninapokuona mie
Chorus
Mmmh! Aaah! Mmh! (Mmmh)
Mmmh! Aaah! Mmh!
Mmmh! Aaah! Mmh!
(Naishia naguna mimi nakosa chakuongea )
Mmmh! Aaah! Mmh! (Haeee!)
Mmmh! Aaah! Mmh!
Mmmh! Aaah! Mmh!
(Yaani naguna hata nashindwa kuongea)
Vers 2
Katika viumbe vyote vilivyo umbwa
Yani wewe ndio umeumbika kuliko vyote
Sikuonei kasoro , Najionea mchumba
Yani wewe ndio umeumbika kuliko wote
Namwagilia huu upendo
Mimi na wewe milele daima (daima ,daima)
Yani baby Nalilia huu upendo
Nyuma nilishateseka kiaina (Kiaina , kiaina)
Eeh! Naumbo lako dogo dogo baby
Kisura chako chaki baby face
Mimi utaniumiza kama nikikukosa
Maana kila ninapokuona mie
Chorus
Mmmh! Aaah! Mmh! (Mmmh)
Mmmh! Aaah! Mmh!
Mmmh! Aaah! Mmh!
(Naishia naguna mimi nakosa chakuongea )
Mmmh! Aaah! Mmh! (Haeee!)
Mmmh! Aaah! Mmh!
Mmmh! Aaah! Mmh!
(Yaani naguna hata nashindwa kuongea)
Hiiiii yeyeeeee!! hoooooo!
Aaahh!! mmh mmh!!