Nairobi
Marioo
3:24Mmh, aah Mi amor, te amo Oh, baby, mon amor Hakuna mwingine wakumsikia, kwenye masikio yangu Hakuna mwingine wakumuona, kwenye macho yangu Nibebe nibebe, honey, nishushe mahabani Nigege nigege (eh), mi kwako taabani Eeh, aah, mi amor Nikuite jina gani, baby, honey, ama boo? Mon amor Eeh, aah, mi amor Nikuite jina gani, mahabuba au lazizi? Aah, au Mon amor? Mon amor Mm—mm, eh Aah—ah, moyoni ulivyonikaa never seen before Hata unavyonipa never seen before Wengine wa nini? Oh, la—la—la, la, la Never seen before Tuwe wote mpaka kifo Madungaembe wa nini? Oh, la—la—la, la, la Kwenye joto nipepee kwa baridi nikumbate, eh Kwenye mvua nikinge kama mwavuli Nibebe kanitupe kileleni, ah Nipe yote yote, aah, taabani Ooh, mi amor (hapo sasa)