Alhamdulillah
Marioo
3:00Black Ah unaringa umepima ah utajijuu Huu mwaka utachina si ulileta unyang'au Hukaukwi kunitishia unaondoka unaondoka Kama daladala za kariakoo inatoka inatoka Hadharani unanisusia kuropoka ropoka Kama domo lako shimo la choo yanakutoka Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata pakuegemea Mmh napendwa na sio kwa ninavojidekea Hulka yako ya pupa mwenzako ananinyenyekea Oh kutendwa nakusikia kwenye bomba Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka Natakatishwa mpaka raha mmh mpaka Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka Na tena na enjoy Napenda akinipa akinipa migandisho Kama anapigwa shoti akisakata migandisho Na kama penzi lake bahari kwa muda naelea Maana nishazamaga nishakufa mzoga Na kama penzi melody kali mi kwake ndio burudani Wala sidhani ka'ataridhika kunikosa Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata kwa kuegemea Mmh napendwa na sio kwa ninavojidekea Hulka yako ya pupa mwenzako ananinyenyekea Oh kutendwa nakusikia kwenye bomba Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka Natakatishwa mpa ka raha mmh mpaka Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka Na tena na enjoy