Alhamdulillah
Marioo
3:00Kutoka, haloo Oh Oh, yeah (Trax) Nashukuru nimejua kisa salioo Ngoja kwanza nitafute hela Kumbe shida sina salioo Acha basi nikatafute hela Si ungesema kisa he (he) Ndio inayofanya nikose raha (la) Si ungesema kisa he (he) Ndio inayofanya nikose raha (la) Mi nakaa naumiza ndonga Almanusra nidate, ah Nimekaa naumiza ndonga Chupuchupu nipagawe, bae Maana usiku kucha unanisifia Kukikucha unani-cheat Na tena mara kwa mara unaniambia Kitu yangu ndio ina fit, ah Mara pah natumiwa video zako unaliwa Mate kwenye ndinga, ah Mara ghafla naambiwa Una danga lako lenye umri wa kukuzaa Nikawa na shangaa Nashukuru nimejua kisa salioo Ngoja kwanza nitafute hela Kumbe shida sina salioo Acha basi nikatafute hela Si ungesema kisa he (he) Ndio inayofanya nikose raha (la) Si ungesema kisa he (he) Ndio inayofanya nikose raha (la) Mmm-mm, yeah Oh, yeah, oh Si kila kitu tulifanya kwa ajili yako Na wewe ukaniahidi utazikwa na mimi Hata kitu niliwasha kwa ajili yako Ni wewe ndio ulitaka uvute na mimi Maneno yako yaliniaminisha Na mi nikajiamini (comfortability) Vitendo vyako viliniaminisha Kumbe sio (negativity), ah Mara pah natumiwa video zako unaliwa Mate kwenye ndinga, ah Mara ghafla naambiwa Una danga lako lenye umri wa kukuzaa Nikawa na shangaa Nashukuru nimejua kisa salioo Ngoja kwanza nikatafute hela Kumbe shida sina salioo Acha basi nikatafute hela Si ungesema kisa he (he) Ndio inayofanya nikose raha (la) Si ungesema kisa he (he) Ndio inayofanya nikose raha (la) Oh, yeah Nafanya nikose raha