Uwe Nguzo
Christopher Mwahangila
5:43Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sishindani mwenyewe Ninashindiwa na Yahweh Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sishindani mwenyewe Ninashindiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Mwenzio sishindani mwenyewe Mimi vita sijui Mimi vita siwezi kasema nitulie atajibu Kuna majira vita huja kwangu Kuna majira watesi waliniunikia Kuna majira nilitaka kupambana mwenyewe Nikasikia sauti Nikasikia sauti sauti imebeba ushindi sauti imebeba ushindi wangu ah Ikaniambia mimi ni Baba Yako Usipigane mwenyewe mwanangu Usipambane mwenyewe nakupigania ah Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sishindani mwenyewe Ninashindiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mimi sipambani mimi napambaniwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba wenzio vita nimekatazwa natetewa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe (Halleluhya) Ninapiganiwa na Baba Unapambana na mimi bure Unashindana na mimi bure mwenzio sijawahi jitetea mimi sijawahi jipigania Yesu amehakikisha ananilinda mimi niwe salama hataacha leo nizame kama jana alinitetea kamwe leo sitaangamia Kama jana amenitetea leo kamwe sitaangamia sishindanangi mwenyewe Ninashindiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninashindiwa na Yesu mwenyewe Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sishindani mwenyewe Ninashindiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Kulikuwa na Nebukadneza Aliwakusanya watu wengi sana Alitaka wote wamwabudu Walikuwepo vijana watatu ah Shadraki Meshaki na Abedinego Akawatisha kwa moto mkubwa alitaka vijana wamwabudu vijana wakamwambia vijana wakamweleza eh Hatupigani wenyewe Hatushindani wenyewe Hatujitetei sisi Hatupambani wenyewe twapambaniwa na baba Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Usipambane mwenyewe atakupambania tu Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba Tulia tulia atakushindania tu Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba jitahidi kuendelea utashinda vita tu Mwenzio sipiganagi mwenyewe Ninapiganiwa na Baba