Nikupendeze
Mercy Masika
3:55Umeinuliwa ,eh mungu wangu Jina lako kuu ,li juu ya yote Umeinuliwa ,eh mungu wangu U peke yako u juu ya yote eh eh Kwa moyo wangu na vyote ndani yangu Nakushujudu nikisema u bwana Pendo lako li juu ya yote maishani Naliinua jina la yesu wangu daima ,daima eeh Umeinuliwa ,eh mungu wangu(mungu wangu) Jina lako kuu ,li juu ya yote Umeinuliwaooh (umeinuliwa) ,eh mungu wangu U peke yako u juu ya yote eh eh(juu ya yote eh eh) Kila kilicho na uhai kimsifu bwana Kila kiumbe na kitetemeke mbele zake Anyetawala mbingu na nchi mungu ni mkuu anastahili sifa zetu Umeinuliwa ,eh mungu wangu(umeinuliwa wewe) Jina lako kuu ,li juu ya yote(li juu ya majina yotee) Umeinuliwa(umeinuliwa) ,eh mungu wangu U peke yako u juu ya yote eh ehh Tunakusifu Bwana ,hakuna kama wewee Umeinuliwa ,nakuabudu maana wewe ni mungu oh Umeinuliwa ,(umeinuliwa bwana,umeinuliwa bwana wa maBwana) Umeinuliwa ,mponyaji wetu( oh eii) nitakukimbilia Umeinulia ooh hatuna kama wewe Baba Jina lako kuu (jina lako)ni juu ya yote ,majina yote Umeinuliwa eh mungu wangu ,u peke yako U peke yako u juu ya yote eh eh Umeinuliwa ,umeinuliwa ,ndio maana twakuita baba wee Ndio maana twakuabudu wewe Jina lako kuu li juu yua yote (mungu mkuu yeye yeiiy)