Maisha Yangu
Moji Shortbabaa
3:40Nimekubali yesu unanijali Nimekubali yesu unanijali Unanija ah ah ali Yesu unanijali Unanija ah ah ali Yesu unanijali Nikiwaza yale yote umedoo Sitaweza piga hesabu Miujiza and what have you I'm so happy I have you Ya msalaba niseme ama niwache Na kila siku jamaa napata mkate Uliyotenda kibao na masichache Wapi kama wewe nimpate Oh ahhhhh yesu nakutaka weh Nimekuonaaa kwa marefu na mapana weh Oh ahhhhh yesu nakutaka weh Nimekuonaaa kwa marefu na mapana weh Nimekubali yesu unanijali Nimekubali yesu unanijali Unanija ah ah ali Yesu unanijali Unanija ah ah ali Yesu unanijali Mafuka umenipaka me nang'a Hadi wanabaki wameshangaa Na moto umeniwasha ka mishumaa Daily nasimama ka shujaa Leo tomorrow Nakufuata zaidi ya goro Juu kwako hakuna sorrow Umevunja minyororo Oh ahhhhh yesu nakutaka weh Nimekuonaaa kwa marefu na mapana weh Oh ahhhhh yesu nakutaka weh Nimekuonaaa kwa marefu na mapana weh Nimekubali yesu unanijali Nimekubali yesu unanijali Unanija ah ah ali Yesu unanijali Unanija ah ah ali Yesu unanijali Nimekubali yesu unanijali Nimekubali yesu unanijali Unanija ah ah ali Yesu unanijali Unanija ah ah ali Yesu unanijali Nimekubali baba nimekubali Unanijali unanijali Nimekubali baba nimekubali Unanijali unanijali