Notice: file_put_contents(): Write of 636 bytes failed with errno=28 No space left on device in /www/wwwroot/muzbon.net/system/url_helper.php on line 265
Msanii Music Group - Usiogope | Скачать MP3 бесплатно
Usiogope

Usiogope

Msanii Music Group

Альбом: Usiogope
Длительность: 5:59
Год: 2023
Скачать MP3

Текст песни

Usiogope wala usifadhaike..
Tambua yupo Mungu anayekuwazia mema juu yako...
Na wala usizikilize kelele za walimwengu...
Tambua Mungu yupo anakujali tasikia shida zako...

Dunia hii ni mengi yanayotuchanganya...
Iwe ni afya, uchumi na mengi kama hayo...
Suluhu pekee ni kujisalimisha kwa Yesu..
Yeye asema tumtwike mizigo ile itulemeayo

Tusisahau, tuko mwisho wa dunia ndugu...
Tuyaonayo na mengi yaliyotabiriwa...
Kuishi vyema tuyatengeneze Mambo yetu..
Wala tusihofu tumtegemee Yesu pekee...

Usiogope wala usifadhaike..
Tambua yupo Mungu anayekuwazia mema juu yako...
Na wala usizikilize kelele za walimwengu...
Tambua Mungu yupo anakujali tasikia shida zako...

Usiogope wala usifadhaike..
Tambua yupo Mungu anayekuwazia mema juu yako...
Na wala usizikilize kelele za walimwengu...
Tambua Mungu yupo anakujali tasikia shida zako...

Interlude
Ninatambua umeshasikia sana hayo mambo...
Kuna wakatiwaona kama hakuna jipya...
Umefikia mahali pa kutokuamini...
Ya kwamba Yesu anawezasikia na kukupa msaada..

Nina habari iliyo njema kwako ewe ndugu mpendwa..
Tambua kuwa Mungu wetu yeye huwa halali...
Ninakusihi, piga magoti muite sasa...
ctasikia na atajibu yote yale uliyo omba...