Nikurejeshee
Neema Gospel Choir
12:42Akisema atatimiza wewe muamini Akisema atajibu wewe muamini Akisema atatimiza wewe muamini Akisema atajibu wewe muamini Akisema atatimiza wewe muamini Akisema atajibu wewe muamini Akisema atatimiza wewe muamini Akisema atajibu wewe muamini Katika mapito yote ni Mungu Kwenye uvuli wa mauti huniongoza Katika majira yote ni Mungu Niwapo kwenye majaribu hunishindia Katika mapito yote ni Mungu Kwenye uvuli wa mauti huniongoza Katika majira yote ni Mungu Niwapo kwenye majaribu hunishindia Kama dhahabu ipitavyo katika moto Nina ng'arishwa Kuwa bora Kuwa bora Kama dhahabu ipitavyo katika moto Nina ng'arishwa Kuwa bora Kuwa bora Kama dhahabu ipitavyo katika moto Nina ng'arishwa Kuwa bora Kuwa bora Kama dhahabu ipitavyo katika moto Nina ng'arishwa Kuwa bora Kuwa bora Siyo kwamba Mungu haoni Siyo kwamba Mungu haoni Siyo kwamba Mungu haoni Siyo kwamba Mungu haoni Amekuchora mwake kiganjani Amekuchora mwake kiganjani Amekuchora mwake kiganjani Amekuchora mwake kiganjani Siyo kwamba Mungu hajui Siyo kwamba Mungu hajui Siyo kwamba Mungu hajui Siyo kwamba Mungu hajui Amelitunza agano lake na wewe Amelitunza agano lake na wewe Amelitunza agano lake na wewe Amelitunza agano lake na wewe Kama dhahabu ipitavyo katika moto Nina ng'arishwa Kuwa bora Kuwa bora Kama dhahabu ipitavyo katika moto Nina ng'arishwa Haiii Ahh Shi di di di di diiii Haya Yaah Haya Yaaah Aiboo Haya Yaaah Hai Haya Yaah Haya Yaaah Siyo kwamba Mungu haoni Siyo kwamba Mungu haoni Siyo kwamba Mungu haoni Siyo kwamba Mungu haoni Amekuchora mwake kiganjani Amekuchora mwake kiganjani Amekuchora mwake kiganjani Amekuchora mwake kiganjani Siyo kwamba Mungu hajui Siyo kwamba Mungu hajui Siyo kwamba Mungu hajui Siyo kwamba Mungu hajui Amelitunza agano lake na wewe Amelitunza agano lake na wewe Amelitunza agano lake na wewe Amelitunza agano lake na wewe Kama dhahabu ipitavyo katika moto Nina ng'arishwa Kuwa bora Kuwa bora Kama dhahabu ipitavyo katika moto Nina ng'arishwa