Uongo

Uongo

Neema Gospel Choir

Альбом: Dunia Imechafuka
Длительность: 7:22
Год: 2016
Скачать MP3

Текст песни

uongo si kitu chema
ndugu sikia
utendae hayo wamchukiza Mungu
uongo ni kama moto
ndugu sikia
moto mdogo ndugu
huunguzao mwili
uongo ndugu waweza
kutawanya kundi
la kondoo wa Mungu
hiyo ni lazimaa
uongo si kitu chema
ndugu sikia
utendae hayo wamchukiza Mungu
uongo ni kama moto
ndugu sikia
moto mdogo ndugu
huunguzao mwili
uongo ndugu waweza
kutawanya kundi
la kondoo wa Mungu
hiyo ni lazimaa

ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
kama mtumishi wa Mungu
itende haki yake
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
kama mtumishi wa Mungu
itende haki yake

mda wa kutenda dhambi
umeshapita siku ya wokovu
ndiyo sasa ndugu
nira ya Mungu iwazi
na uipokee
utajazwa nguvu
umshinde shetani
shetani mdanganyifu
ndugu sikia sikia
angalia sana
usije kosa mbingu
mda wa kutenda dhambi
umeshapita siku ya wokovu
ndiyo sasa ndugu
nira ya Mungu iwazi
na uipokee
utajazwa nguvu
umshinde shetani
shetani mdanganyifu
ndugu sikia sikia
angalia sana
usije kosa mbingu

ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
kama mtumishi wa Mungu
itende haki yake
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
ninakusihi bali katika kila neno
hujitahidi kujipatia sifa njema
kama mtumishi wa Mungu
itende haki yake