Kimya (Feat. Joel Alfredy)
Nelly-Music
6:42Kila jambo lina wakati wake Na kila wakati una uzito wake Katika upepo wa dunia Wakati wetu ni kivuli Kila hatua Kila pumzi Ni wimbo wa maisha Time is more than a ticking clock It's the rhythm of our souls The pulse of the Earth We are born We live, and we fade But each moment is a lesson Unwritten Untold A dance between patience and haste Kuna nyakati za upweke Na nyakati za umoja Nyakati za mafanikio Na nyakati za kushindwa Lakini kila wakati una funzo Hatuwezi kubisha mlango wa wakati Wakati hutujia Waja kwa njia na namna yake Ya tofauti When the noise of life drowns my spirit I feel the weight of time Pulling my heart The rush The chaos The push to move faster Yet deep inside I know There is peace in waiting A stillness A quiet that speaks Louder than the world's cries Remind me to stay calm Nikae kimya I want to shut down every noise That distracts my calm Every whisper That pushes me away From the dawn of my soul Every voice That makes me question my rhythm Every judgment that steals my silence I will not bend I will not break For in stillness I'm remade I yearn to rest in God's timing To trust the rhythm He has set for me To know when to step forward And when to be still For His hands are the hands of time Gentle Precise Loving Kind Mungu nisaidie kutulia Kama maji yatuliavyo baada ya dhoruba Upepo usimamapo Kutoa pumzi yake kwa amani Nipe uvumilivu wa kujua wakati wa kweli Wa kutenda Wapi ninene,wapi ninyamaze Wakati wa kuacha Kupumzika Wakati wa kuweka nguvu yote na kuachilia Ili nisije nikapotea Kwenye mzunguko wa dunia Nikawa kipande Cha kivuli cha watu wengine Siku zote nichague kukaa Kimya nikuskize Maana wewe wajua vyema sana Time teaches us the language of surrender To flow with the seasons Not against them For every minute is a gift Every second An opportunity to align with eternity When the world is too loud I will listen to the quiet When the storm rages I will wait for the calm In the silence of God's wisdom I will find my rhythm My heart will beat In sync with time And I will know Kila jambo lina wakati wake Kwangu itakuwa amani Kwa maana nipo katika mikono ya majira yake Nitakaa hapo Kimya Maana ndipo pekee penye majibu Na majawabu ya maswali yangu Kwenye uwepo wako Ni salama! Nitakaa hapo Kimya!